Search

52 results for Juma Mtanda :

  1. Maafande wafunika shindano kula matikiti

    ASKARI wa Jeshi la Uhamiaji, Koplo Emmanuel Shayo na Koplo Sara Nambarara wameibuka washindi wa shindano la kula tunda la tikiti maji wakiwafunika wapinzani kutoka Morogoro katika Tamasha maalumu...

  2. PRIME Kiduku anaogopa sindano kuliko ngumi

    BINGWA wa Ngumi za Kulipwa anayeshikilia mikanda ya UBO Mabara na ule wa Shirikisho la Masumbwi Tanzania (PST), Twaha Kassim 'Kiduku' amesema amekuwa akiogopa kuchomwa sindano kuliko ngumi za...

  3. Mwenyekiti Simba SC Mngeta auwawa na watu wasiojulikana

    Morogoro. MWENYEKITI wa tawi la Simba SC katika mji mdogo wa Mchombe kata ya Mngeta Halmashauri ya Mlimba, Benson Mwakasanga (48) amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa na kundi la watu...

  4. Afande Sele atekeleza agizo la Rais Samia

    AGIZO la Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan la kumtaka mfalme wa rhymes katika muziki wa kizazi kipya nchini kutunga nyimbo zenye kuhamasisha utunzaji wa mazingira zimeanza kutekelezwa...

  5. Kahawa Veterani yatinga kwa mbinde nusu fainali Nyerere Day Morogoro

    kubwa ya mabao 12-11 na Kahawa kusonga hatua ya nusu fainali. Akizungumza na Mwanaspoti katika michezo hiyo inayoendelea mjini hapa, Msemaji wa Nyerere Day Morogoro 2022, Shaibu Mohamed amesema...

  6. Beki Simba aibukia Kahawa Veterani ya Zanzibar

    na mshambuliaji wa zamani ya Mtibwa Sugar, Abdallah Juma aliyekwamisha mpira wavuni kwa kichwa baada ya kazi nzuri ya, Hamis Kitwana. Michuano ya Nyerere Day 2022 inashirikisha timu 18 za ...

  7. Yanga Moro yaikalisha Simba

    Morogoro. Aina na staili ya ushangiliaji inayoendelea kupata umaarufu ya mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele katika Ligi Kuu ya NBC imeibukia kwa mashabiki wa klabu hiyo wakishangilia ushindi...

  8. Msuva, Sure Boy kukiwasha Morogoro

    MASTAA kibao wanaokipiga Ligi Kuu Bara wanatarajia kuungana na mabeki wa Yanga, Dickson Job na Kibwana Shomari katika mchezo wa hisani wenye lengo la kuchangisha fedha kutoka kwa mashabiki na...

  9. Ni Ruvu Shooting vs Kilombero Soccer Net fainali U20 Moro

    Ruvu Shooting U20 na Kilombero Soccer Net zitakutana katika fainali ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 wilaya ya Morogoro 2022 kusaka bingwa wa michuano hiyo baada ya timu hizo...

  10. Ngumi Jiwe yaiondoa Pwani Youth Sports Foundation kutinga nusu fainali michuano ya vijana U20 Morogoro

    Pwani Youth Sports Foundation imeaga kinyonge na kushindwa kutinga kufuzu nusu fainali ya michuano ya vijana U20 wilaya ya Morogoro 2022 baada ya kukubali kuchapwa bao 3-1 na Burkina Fc katika...

Page 1 of 6

Next